Fahamu spishi mpya wa papa wanaoibuka kutoka kwenye kina kirefu cha bahari - Fastestsmm News Swahili

Novah
By -
0
Fahamu spishi mpya wa papa wanaoibuka kutoka kwenye kina kirefu cha bahari - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, CSIRO Australian National Fish Collection

Ilikuwa ni siri ya ajabu ambayo ilianza na yai. Mnamo mwaka wa 1989, wanasayansi nchini Australia walipata aina ya ajabu ya "mkoba wa nguva" - mfuko wa yai, ambayo hutagwa na aina fulani za papa badala ya kuzaa ili kuishi kwa muda mrefu na kuwa na muonekano wa samaki wadogo.

Mayai hayo yalipatikana kwenye ukingo wa rafu ya bara katika Bahari ya Timor Mashariki, kilomita mia chache kutoka pwani ya kaskazini-mashariki ya Australia.

Wanasayansi walikuwa na maswali mengi kuliko majibu. Ni samaki gani aliyeyataga? Aliishi wapi? Na kwa nini vifuko vyake vya mayai vilikuwa na mwonekano wa pekee?

Ilichukuwa zaidi ya 30 kabla ya wanasayansi hatimaye kupata maswali ya msingi zaidi kuliko maswali haya - na kwa kufanya hivyo kugundua aina mpya kabisa ya papa.

[ad_2] #Fahamu #spishi #mpya #papa #wanaoibuka #kutoka #kwenye #kina #kirefu #cha #bahari #Fastestsmm #News #Swahili

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)