Kwanini usafiri wa helikopta ni hatari nchini Nepal? - Fastestsmm News Swahili

0
Kwanini usafiri wa helikopta ni hatari nchini Nepal? - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, EPA-EFE/REX/SHUTTERSTOCK

Kapteini mzoefu amelalamika kuwa licha ya watu - wakiwemo mawaziri wa serikali na raia wa kawaida kufariki, hakuna mipango ya kutosha ya kupunguza hatari ya ajali za helikopta nchini Nepal.

Marubani wanasema uduni wa miundombinu na rasilimali za kutosha za utabiri wa hali ya hewa katika nyanda za juu hufanya safari za kupaa katika maeneo hayo kuwa na changamoto.

Kwa mujibu wa ripoti ya usalama wa anga ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga, zaidi ya watu 85 wamepoteza maisha katika ajali za helikopta nchini Nepal hadi 2019. Tangu kuchapishwa kwa ripoti mwaka 2019, maelezo ya ajali kadhaa za helikopta bado hayajachapishwa na shirika hiyo.

Ajali ya mwanzo kabisa ya helikopta katika rekodi za mamlaka - ilitokea 1989 huko Langtang na watu sita walifariki.

[ad_2] #Kwanini #usafiri #helikopta #hatari #nchini #Nepal #Fastestsmm #News #Swahili

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top