Nchi tano za Afrika zinakaribia kuutokomeza ugonjwa wa UKIMWI - Ripoti - Fastestsmm News Swahili

0
Nchi tano za Afrika zinakaribia kuutokomeza ugonjwa wa UKIMWI - Ripoti - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, Getty Images

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema dunia iko mbioni kuUtokomeza ugonjwa wa UKIMWI ifikapo mwaka 2030 mara tu programu muhimu za afya zitakapofadhiliwa kikamilifu.

Asilimia 65 ya watu wanaoishi na VVU wanaishi katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hata hivyo eneo hilo limepiga hatua kubwa katika kuutokomeza UKIMWI.

[ad_2] #Nchi #tano #Afrika #zinakaribia #kuutokomeza #ugonjwa #UKIMWI #Ripoti #Fastestsmm #News #Swahili

Post a Comment

0Comments
Post a Comment (0)
To Top