Tetesi tano kubwa jioni - Fastestsmm News Swahili

Novah
By -
0
Tetesi tano kubwa jioni - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, Getty Images

Imeripotiwa leo kuwa klabu ya Saudia Pro League, Al-Hilal imetuma ofa ya pauni milioni 25 kwa Fulham kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji wa Serbia Aleksandar Mitrovic.

Vyanzo vya klabu vimemthibitishia Simon Stone wa Fastestsmm Sport kwamba ofa hiyo "imekataliwa" na "hawana hamu ya kumuuza" mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Serbia, ambaye alifunga mabao 14 Fulham iliporejea Ligi Kuu msimu uliopita, yuko chini ya kandarasi huko Craven Cottage hadi msimu wa joto wa 2026.

Chanzo cha picha, Getty Images

Nice wanasema wanatarajia Aaron Ramsey kurejea katika klabu kwa ajili ya mazoezi ya kabla ya msimu mpya kwani mustakabali wa nahodha huyo wa Wales bado haujulikani.

[ad_2] #Tetesi #tano #kubwa #jioni #Fastestsmm #News #Swahili

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)