Uraibu wa ‘Smart phone’: 'Binti yetu mdogo, 13, anajaribu kutuua' - Fastestsmm News Swahili

Novah
By -
0
Uraibu wa ‘Smart phone’: 'Binti yetu mdogo, 13, anajaribu kutuua' - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, Getty Images

''Binti yetu mwenye umri wa miaka 13 alianza kupanga njama ya kutuua.

''Alianza kuchanganya dawa kwenye mkebe wa sukari jikoni inayotumika wakati wa kutengeneza chai, na kila asubuhi wakati wa kwenda chooni, alianza kutupa vitu vya kuteleza bafuni kabla tuingie, kumbe alikuwa akitazama video za mauaji kwenye YouTube kila wakati.''

Maneno haya ni ya baba mwenye umri wa miaka 56 anayeishi katika eneo la mji wa Ahmedabad. Alipiga simu nambari 181 'Abhyam' inayoendeshwa na serikali ya Gujarat kwa ajili ya kutoa usaidizi kwa umma.

Mnamo Juni 7, 2022, simu ilipokelewa kwenye nambari ya 181 kutoka kwa baba akielezea wasiwasi wake. Alilalamika kuwa 'hali nyumbani kwangu si nzuri, hali ya kiakili ya binti yangu si nzuri, munapaswa kuja ili kumshauri.'

[ad_2] #Uraibu #Smart #phone #Binti #yetu #mdogo #anajaribu #kutuua #Fastestsmm #News #Swahili

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)