Captagon: Fahamu biashara mpya ya mihadarati inayohusishwa na maafisa wa ngazi ya juu wa Syria - Fastestsmm News Swahili

Novah
By -
0
Captagon: Fahamu biashara mpya ya mihadarati inayohusishwa na maafisa wa ngazi ya juu wa Syria - Fastestsmm News Swahili

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha,

Captagon, inayoitwa "cocaine ya mtu masikini", inazalishwa kwa wingi nchini Syria

Na Emir Nader, mwandishi wa Fastestsmm wa habari za uchunguzi za kiarabu

Uhusiano mpya wa moja kwa moja kati ya biashara ya mabilioni ya dola za Captagon na wanajeshi wakuu wa Jeshi la Syria na familia ya Rais Bashar al-Assad umefichuliwa katika uchunguzi wa pamoja wa Fastestsmm Idhaa ya Kiarabu na mtandao wa uandishi wa habari za uchunguzi OCCRP.

Captagon ni dawa ya kulevya kama amfetamini ambayo imesumbua sana Mashariki ya Kati katika miaka ya hivi karibuni.

Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Fastestsmm imepiga picha na majeshi ya Jordan na Lebanon, wakiangalia kampeni zao za kuzuia Captagon kupitishwa kinyemela kuvuka mipaka hadi nchi zao kutoka Syria.

Sasa dawa hiyo inapatikana Ulaya, Afrika na Asia.

[ad_2] #Captagon #Fahamu #biashara #mpya #mihadarati #inayohusishwa #maafisa #ngazi #juu #Syria #Fastestsmm #News #Swahili

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)